YANGA YATOA KIPIGO KWA MBEYA CITY
Klabu ya Young African imeibuka kidedea katika mchezo wa ligi kuu kati yake na Mbeya City kwa ushindi wa magoli 2 kwa 1 , Magoli hayo ya yanga ameshinda Simon Msuva dakika ya 7' na la pili akafunga Obrey Chilwa dakika 84' huku goli la Mbeya city alishinda Ditram Nchimbi dakika 57' Mchezo uliochezeka katika Uwanja wa Taifa dar es salaam




Post a Comment