JPM AFUNGUA UJENZI WA RELI , ASISITIZA AJIRA KWA WAZAWA
Mhe : Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr . John Pombe Magufuli jana alifungua Ujenzi wa reli ya treni ya umeme , Amesisitiza ajira zitolewe kwa wazawa amesema kuwa ajira zitakazopatikana kupitia ujenzi huo ni ajira 600,000
mheshimiwa raisi amesema kua yeye ni dereva mzuri na ataifikisha tanzania salama , na ametoa agizo kua ujenzi huo uwe wa Haraka ili kufanikisha malengo yaliyopangiwa ... Ufunguzi huo walikuepo viongozi mbalimbali akiwemo mke wa rais Mama Janeth Magufuli , Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti . Ufunguzi huo ulifanyika katika stesheni Jijini Dar es salaam

Post a Comment