SPORTPESA YATUA TANZANIA SASA ...... MILIONI 200 MEZANI
SportPesa nini ???
Ni mfumo wa bahati nasibu kupitia SOKA uliokuepo Kenya , Uingereza & Urusi . Kampuni ya Sport pesa ilianzishwa nchini kenya mnamo mwaka 2014 mpaka sasa inajumla ya miaka 3 toka ianzishwe kwa dhumuni la kuendesha mfumo wa bahati nasibu ....
Mfumo huu ulianzishwa kwa lengo la ku support michezo nchini kenya na hatimae imekua na kutanuka zaidi mpaka sasa imefikia nchini tanzania ...... Kampuni ya Sport - pesa ndo kampuni ya kwanza ya kipekee iliyok nchini AFRICA na ikaweza kudhamini klabu kubwa za PREMIER LEAGUE ........ kampuni hii imejihakikishia usalama wa wateja wao katika uchezaji wa mchezo huu wa bahati nasibu
Yote haya yamesemwa na Bw: Abbas Tarimba ( Mkurugenzi wa Sport pesa TZ )
Uzinduzi wa mchezo huu umehudhuriwa na Waziri wa Michezo na Tamaduni Mhe : Heryson Mwakyembe na mkurungei wa mpira wa miguu ..

Post a Comment