Wazee wa Stamford Bridge watwaa ubingwa EPL kibabe baada ya kuichapa West Bromwich bao 1 - 0 goli ambalo ameshinda Michy Batshuay dakika ya 82' ya mchezo huo ... uliopigika saa 4 usiku
Post a Comment