NI JUVENTUS VS REAL MADRID FAINALI UEFA
Ni Madrid na Juventus fainali UEFA
Usiku wa jana mechi kati ya mahasimu wawili kati ya Real Madrid na Atletico Madrid iliisha kwa Real madrid kutoka na kipigo cha 2 - 1 lakini , klabu hiyo ilikua na magoli 3 ya nyumbani kwani kutokana na mechi iliyochezeka Santiago Bernabeu mnamo tarehe 2 May hivyo kuisababisha kutinga fainali UEFA

Post a Comment