Header Ads

SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) LATOA RAMBIRAMBI

 Shirikisho la mpira wa miguu tanzania (TFF) Latoa rambirambi kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya wanafunzi 33 , walimu 3 na dereva wa shule ya Vicent iliyotokea karatu mkoani Arusha ...... tarehe 06-05-2017
Rambirambi hiyo ya TFF inakwenda sambamba na salamu za rambirambi zilizotolewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi aliyeungana na viongozi mbalimbali akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli katika kuomboleza msiba huo.
Katika salamu zake za rambirambi, Rais Malinzi amesema amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya vifo hivyo kwani imezima ndoto za watoto waliokuwa wakijiandaa kulitumikia taifa katika tasnia mbalimbali ikiwa ni pamoja na mpira wa miguu kama wachezaji, makocha, viongozi hapo baadaye.
"Mtazamo wetu kwa sasa ni kuendeleza soka la vijana, tena hasa wale walioko mashuleni, hivyo vijana wale ni sehemu ya kutimiza ndoto za TFF katika mpira wa miguu hapo baadaye, tunakubali haya yote kwa kuwa ni ya Mwenyezi Mungu ndiye anayejua siri," amesema Rais Malinzi.
Salamu za Rais Malinzi zimekwenda kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wote wa wanafunzi, walimu na dereva waliopoteza maisha, akisema: "Huu ni wakati mgumu kwa Wana - Arusha, wazazi na walezi hawana budi kuwa na subira kwa sasa.





Amesema kwamba kwa wanafamilia wote wa mpira wa miguu, "Tuwaombee marehemu wote wapumzishwe mahali pema. Pia wale waliopata majeruhi tunaomba wapone haraka katika ajali hiyo mbaya. Ee Mwenyezi Mungu zipumzishe Roho za Marehemu hao, Mahala pema peponi.     




                    

No comments

Education

Sports

Technology

Business

Music

Travel

Technology

Pictures

Featured Post Via Labels

Featured Slides Via Labels

Featured Posts Via Labels

More on

Popular Posts

Featured

Fashion

Travel

Design

Movies

Gallery

Beauty

ABOUT THIS BLOG

About us

Popular Posts

Follow Us @soratemplates

Beauty

Fashion

Movies

Recent Videos

Movies

News

  • Latest News

    News

    Header Ad Widget

    favourite Posts

    Accessories[combine]

    Photos[carousel](6)

    Menu :

    [Music][vertical2][recent][4]

    Powered by Blogger.

    Simple social

    About

    AD (728x90)

    [Graphic Design][horizontal][recent][5]

    [simplepost][simple][recent][5]

    Looped Slider

    Top Ad 728x90

    Top Ad 728x90

    Top Ad 728x90

    Top Ad 728x90

    Search This Blog

    Find Us On Facebook

    Video of Day

    Random Posts

    Social Share

    Design

    Shooting

    Column Right

    Sale off[right]

    Followers

    Don't Miss

    Video

    Widget

    Slider

    Slide Show

    Camera is a responsive/adaptive slideshow. Try to resize the browser window
    It uses a light version of jQuery mobile, navigate the slides by swiping with your fingers
    It's completely free (even though a donation is appreciated)
    Camera slideshow provides many options to customize your project as more as possible
    It supports captions, HTML elements and videos.

    Music

    Find Us On Facebook

    Pages

    About Us

    Pages

    Populars

    Breaking News

    Top Featured

    [blogger]

    Breaking

    Fashion

    Top Featured

    Contact Form

    Name

    Email *

    Message *

    Footer Label

    NEWS DAILY 360

    Home of News, Sports , Musics

    Visitor

    Culture

    Accordition

    Comments

    [Latest News][6]

    About Me

    Home of News, Sports , Musics

    Video of Day

    Recent Comments

    Popular Posts